Hadithi yangu Inaitwa "Utamu wa Bosi" naomba tuwe pamoja mwanzo paka mwisho fatilia sasa
..................Ooops,Ooooh?Aaah,Mhuuuh.Nishike vizuri mpenzi nasikia raha jamani.Penzi lako tamu sana
“Hakika ilikuwa ni kero sana nilitamani asubuh ifike haraka.Sauti kali za mahaba zilipenya sawa sawa katika ngome ya masikio yangu na kusababisha kukosa usingizi kabisa.Moyoni nilichukia maisha ya umaskini na kupelekea kupanga vyumba vya uswahilini tena vya bei rahisi.Chumba ni chakavu hakina dali.Basi kama mpangaji mwenzako kaoa au wale mabachera kaingiza demu inakuwa ni hatari usiku kucha hakulaliki”
“Oooh Jamani nishike maziwa mpenzi.Ooooh? tamu jamani”
“Nilitamani niamke ili niwagongee “kweli uswahilini kuna vituko” nilibaki kujisemea moyoni na waswahili wanasema ukitaka raha nunua cha kwako bwana na ukitaka kupanga masharti jenga nyumba yako niliamua kuvumilia sauti zile za mahaba kwani ata mimi hisia za mapezi zilishaanza kuniingia ndani ya ubongo wangu..
“Oh My God ni nani aliyeumba kupenda .Ona leo James naishi maisha ya tabu kiasi hiki nisingeendekeza tamaa nisingekuwa hapa .Yotee hii ni Utamu wa Bosii… Oooh Shiiiit
_________________________________________________________________
Naitwa James Chilambo natokea Magu mkoani Mwanza mtoto wa tatu wa Mzee Chilambo.kama unavyojua ugumu wa maisha kijijini najikuta ni mmoja kati ya vijana wanaokimbilia mjini kutafuta maisha.
“Haya Kariakoooo.Kariakoooo…. Haya Haya Buguruniiiii ya kuwahi “
Kweli mjini kuna mambo kila mtu yuko busy kuwahi usafili hakuna anaemjali mwenzake. si wanawake si wanaume si watoto wala watu wa wazee. wakisukumana kugombania usafili “Oh mimi James sijui nianzie wapi wala sijui niende wapi lakini rafiki zangu wote waliotangulia mjini waliwahi kuniambia wanafanyia shughuri zao kariakoo na hapa kuna nagari yaendayo kariakoo wacha nielekee huko pengine ntapata msaada wowote kwani usiku unakuwa mwingi sasa”
“Hoya wewe Wakuja Kariakoo ndo hii nipe nauli yangu ushuke”
Maneno ya Konda huyu yananitoa katika lindi la mawazo “Nauli bei gani”
“Hoya wewe ndo umefika Bongo Dar-es-Salaam nini ujui ata bei.Fanya fasta nauli mia tatu”
Najisachi natoa noti ya elfu moja na kumpa konda kwa uoga na ushamba wa Jiji naogopa kudai nauli nashuka kwenye daladala na kuanza kushangaa uzuri wa Jiji ili la Dar-es-Salaam “kweli maisha yapo mjini mataa kila sehemu utafikili mchana ndo maana wanaokuja huku ua hawarudi kijijini” Nikiwa naendelea kushangaa uzuri wa Jiji hili mara nashitushwa na Honii ya Gari iliyokaribia kunigonga kabisa kumbe kushangaa kwangu nilishaingia katikati ya barabara “Oooh Mungu wangu niliishiwa nguvu kabisa na kujikuta naangusha kibengi changu kidogo” Samahani sana Mzee wangu sikujua kama niko barabarani
“Ukujua vp Kijana umekuwa mtoto mdogo wewe mpaka kucheza barabarani”
“Hapana Mzee wangu ni ushamba ndo unanisumbua”huku nikiokota kibegi changu kilichochakaa na kukiweka mgongoni
“Kijana kwani wewe ni mgeni hapa”
“Ndio Mzee nimefika leo natokea Mwanza “ taratibu Mzee wa watu alipaki Gari yake pembeni na kutaka nimfate
“Sasa Unakwenda Wapi” Huku akitoa rock za gari na kutaka nipande ndani ya gari
“Sina pakwenda Mzee wangu “ “Unasema kweli Kijana “
“Kweli Mzee wangu ata tiketi ya Basi hii hapa ninayo “ Nilitoa mfukoni na Kumuonesha ilikuwa kama bahati.
-2-
Mzee John alinichukua kwenye Gari na Kuanza safari ya Kuelekea nyumbani kwake
“Eeeh? Kijana unaitwa nani” Naitwa James. James Chilambo Mwenyeji wa Magu Kabisa Mkoani Mwanza
“Ok Naitwa Mr John ni mfanyabiashara maarufu sana hapa Dar-es-Salaam ila Usijali utanifahamu vizuri ngoja twende nyumbani kwangu ishakuwa usiku sana”
Ilikuwa yakaribia saa sita usiku tulisimama nje ya Geti kubwa na Mzee John alishuka na kufungua geti na kurudi ndani ya gari. taratibu aliingiza gari ndani na kurudi kufunga geti kisha akanikaribisha mpaka ndani kwake.Aisee ni nyumba nzuri sana tena ni ya kisasa.Sasa Nilianza kuamini huyu Mzee John kama alivyojitambulisha ni Mfanyabiashara maarufu basi atakuwa ni ntu mwenye pesa nyingi sana.Ila Sikujua kwanini anaishi peke yake kwenye jumba lote hili .taratibu nikaanza kuingiwa na hofu au ndo nimeingia kwenye mikono ya wachuna ngozi.ila nikajipa moyo nikiwa katika Lindi la mawazo nashitushwa na sauti ya Mr John
“Ok Kijana Kwa mara nyingine karibu sana jisikie huko nyumbani” Ahsante sana mzee wangu
“Usijali kijana najua unajiuliza maswali mengi sana kwanini naishi peke yangu kwenye nyumba yote hii.Kwa kifupi na familia kubwa kidogo na kwasasa iko nje ya nchi kwa matembezi ila muda si mrefu tutaungana nayo. “James nisikuchoshe njoo nikuoneshe chumba cha kupumzika ili uoge na kubadilisha nguo tuje tule chakula mengi tutaongea asubuh”
usikose sehemu ya pili kwani James Ndo Kashaingia Jijini na Kapata Msaada wa Mr John Itakuwaje.usikose

No comments:
Post a Comment