Shamba lipo Morogoro, Turiani
Lina ukubwa wa ekari 5
Lina miti ya mitiki kati ya 4,000 na 4,500 yenye umri wa miaka 10 mpaka 13
Bei ya maulizio ni shilingi millioni 100 za kiTanzania, maongezi yapo kwa mawasiliano piga simu namba 0754710547 au 0715083408
No comments:
Post a Comment