Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, July 25, 2014

FIKIRI KABLA YA KUTENDA

Katika maisha usimuage au kumuacha mtu ambaye moyo wako bado unahitaji kuwa naye,usijaribu kukata tamaa ikiwa unatambua au unahisi mnaweza kusongo na mambo yakabadilika mbele ya safari.
lakini kumbuka usijisifu na kujitapa kuwa haumpendi fulani ili hali moyo wako unatambua hauwezi kumuacha aende zake.maisha yoyote yale yanahitaji heshima,nidhamu na uvumilivu ili kufikia mafanikio.
Share na marafiki ujumbe huu.Je ulishawahi kujutia maamuzi yako?
LikeLike · · ·

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG