Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, August 11, 2014

KUTOKA GAZA


 


 
MAPIGANO YA SITISHWA GAZA


Harakati za amani kutaka vita vikomeshwe Gaza

Israel na Palestina wamekubaliana kusitisha mapigano tena Gaza kwa saa 72 - makubaliano yaanza kutekelezwa Jumapili saa 6 za usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Wapatanishi wa Misri wamesaidia kuwezesha makubaliano hayo kufikiwa na mapigano yakisita kweli, Jumatatu Israel itatuma waakilishi mjini Cairo kwa mazungumzo ya kutafuta suluhu ya muda mrefu katika mzozo huo.
Mwandishi wa BBC mjini Jerusalem anasema Israel itaendelea kudai kuwa Gaza liwe eneo lisilokuwa na silaha - na Hamas itataka Israel iache kuizingira Gaza na iondoe vizuizi vya kuingia na kutoka.
Watu zaidi ya 20 wameuwawa tangu usitishwaji wa mapigano wa mwisho kumalizika Ijumaa.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG