Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, August 28, 2014

Tiba ya Mwanaume Aliyelishwa Limbwata


Hii ni kwa wanaume wote waliooa na ambao waliopo katika mahusiano,iwapo mwanamke kaamua kumchezea akili mwanaume kwa kumwendea kwa mganga/waganga kwa lengo la kumpumbaza,tatizo hili laweza tatuliwa na mama mzazi wa kijana kiurahisi, hii ni kwa kutumia Mkojo Kwa Maana ya Kunywa ,inashauriwa kuuweka kwenye chai atakayokunywa mwathirika hata kama ni limbwata la wapi atafunguka kuanzia siku hiyo.
Onyo; ladies Mapenzi raha inawashauri punguzeni kuwalisha wanaume zenu madawa ya ajabuajabu mtajatuua au kutuchizisha bure

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG