Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, September 14, 2014

DIEGO COSTA APIGA ‘HAT-TRICK’ CHELSEA IKIITANDIKA 4-2 SWANSEA

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
Diego Costa ameonesha ubora wake wa kufumania nyavu baada ya kufunga mabao matatu dhidi ya Swansea City.
KAMA Diego Costa alikuwa na bei ya Paundi milioni 320, bado alistahili thamani hiyo.
Ni kitu gani hiki Mhispania huyu ameleta katika ligi England?
Amefunga magoli saba katika mechi nne tangu awasili Chelsea akitokea Atletico Madrid kwa dau la paundi milioni 32.(P.T)
Amefikisha idadi hiyo baada ya kufunga mabao matatu 'Hat-tric' dhidi ya Swansea City jioni ya leo, Chelsea ikishinda 4-2 Stamford Bridge.
Kwa asilimia 100 ni rekodi nzuri mno kwa nyota huyu aliyetamba na Atletico msimu uliopita.
Ushindi huu umewasha taa nyekundu kwa wapinzani wa ubingwa wa EPL na umeonesha kuwa timu ya Jose Mourinho ni hatari msimu huu.
Former Queens Park Rangers striker Loic Remy scored on his Chelsea debut to make it 4-1
Mshambuliaji wa zamani wa Queens Park Rangers,Loic Remy akifunga bao katika mechi ya kwanza na kuufanya ubao wa matangazo kusomeka 4-1
MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA HAYA HAPA
ENGLAND: Premier League
14:45 Finished Arsenal 2 - 2 Manchester City
17:00 Finished Chelsea 4 - 2 Swansea
17:00 Finished Crystal Palace 0 - 0 Burnley
17:00 Finished Southampton 4 - 0 Newcastle Utd
17:00 Finished Stoke City 0 - 1 Leicester
17:00 Finished Sunderland 2 - 2 Tottenham
17:00 Finished West Brom 0 - 2 Everton
19:30 Finished Liverpool 0 - 1 Aston Villa

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG