Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, September 1, 2014

Marekani yaombwa silaha Ukraine

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 

Robert Menendez
Mkuu wa baraza la kamati ya mahusiano ya Marekani ameiomba nchi yake kupeleka silaha Ukraine ili kukabiliana na kinachodaiwa uvamizi unaofanywa na Urusi.
Robert Menendez amesisitiza Umoja wa Ulaya kutoa silaha za kivita kuisaidia Ukraine ili iweze kujihami dhidi ua Urusi.
Wito huo umekuja huku Rais Putin wa Urusi akiita majadiliano ya haraka kuhusiana na mwa Ukraine kama nafasi ya kufanya makubaliano ya kusitisha uhasama wao.
Kauli ya Putin inakuja ikiwa ni siku moja kabla ya mazungumzo yatakayofanyika huko Minsk kati ya Ukraine na Urusi kujadili machafuko hayo

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG