Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, September 11, 2014

Safari hatua, tela nalo unafika


  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 

Na Thommy kundy Moshi
Huu ni usafiri ambao naamini kuwa mtanzania yeyote ameutumia lakini pia hata kama hajatumia basi atakuwa anaufahamu.
Tanzania kuna magari lakini pia kuna usafiri aina ya tela ambao kule kwetu singida unatumika sana kubeba mizigo kama vile mchanga,mawe, matofali N.K
Lakini pamoja na kubeba mizigo hiyo pia hutumika kubeba watu ambao ndio waongozaji wa usafiri huo.
Nakumbuka mwaka 2009 ndo ilikuwa mara yangu ya mwisho kutumia usafiri huu wakati nikiwa kijijini kwetu Msisi Kata ya New Kiomboi Tarafa ya Kisiriri, Wilaya ya Iramba nikiwa nimebeba mbolea kutoka nyumbani kupeleka shambani karibu kilomita 15.
Safari ni hatua Tanzania hatuhitaji gharama kubwa ya kununua usafiri bali gharama ya kawaida tu kama vile TELA

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG