Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, September 2, 2014

SEMINA ya Mafunzo ya Mchezo wa Mpira wa Mikono (HANDBALL) IRINGA

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
T09_90121.jpg
TIE_6855e.jpg
Mwalimu wa shule ya manguajuki singida, Mataka Juma akichangia mada wakati mafunzo ya Handball yanayoendelea mjini Iringa
TO0_f2189.jpg
TO5_dbac3.jpg
Mwalimu ya mchezo wa mpira wa mikono ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ufundi Chama cha Mpira wa Mikono Taifa, (Chairman Technical Committee of Tanazania Amateur Handball Association), (TAHA),David kiama akiwaonesha washiriki namna kiwanja cha mchezo huo unavyoonekana wakati mafunzo yanayoendelea mjini Iringa. (THOMMY KUNDY)

TY_70dd2.jpg
T04_b354a.jpg
Shirika la CSPD kwa kushirikiana na Chama cha Mpira wa Mikono (TAHA) Taifa kinaendesha Mafunzo ya Mpira wa Mikono kwa Walimu wa Michezo wa Shule za Msingi na Sekondari katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), mkoani Iringa kuanzia tarehe 01-06, Septemba mwaka, ambapo washiriki tokamikoa ya Singida, Morogoro, Njombe, Rukwa, Ruvuma na wenyeji Iringa wanashiriki mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG