Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Wednesday, October 1, 2014

ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY ‘ACT’ YAPOKEA WANACHAMA WAPYA


Mwanachama wa zamani wa Chadema, Batuli Abdallah  akijieleza mbele ya wanahabari (hawako pichani)

Yassin Bahama aliyekuwa mwanachama wa zamani wa Chadema akizungumza.


Mohamed Ngulangwa aliyekuwa mwanachama wa zamani wa CCM akivaa fulana ya chama hicho.(T.K)


Wajumbe waliohudhuria mkutano.


Mwenyekiti  wa ACT,  Hamis Chambuso akiwa ameshika kadi za Chadema zilizorudishwa na wanachama hao wapya.



Wajumbe na wanahabari wakiwa mkutanoni.
CHAMA cha siasa hapa nchini cha Alliance for Change and Transparency ‘ACT, leo kimewapokea wanachama wapya ambao wamehama toka vyama mbalimbali vya siasa nchini.
Waliopokelewa ni  Yassin Bahama aliyekuwa mjumbe wa serikali ya mtaa wa matofalini,  Ujiji Kigoma, Batuli Abdallah aliyekuwa Katibu  Mwenezi Bavicha katika Jimbo la Kawe, Ofisa na mwasisi  wa chama cha Chauwa,  Sylvester Kasonga pamoja na Engineer Mohammed Ngulangwa toka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza  mbele ya GPL, eneo la Msasani Club, jijini Dar, Mwenyekiti  wa Mkoa wa ACT, Hamis Chambuso amewakaribisha na kuwapongeza  wanachama hao wapya kwa hatua waliyoichukua.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG