- Written by Tupambane Blog
-
Share on facebook Share on gmail Share on twitter
Waumini
wa dini ya kiislamu hapa nchini marekani na baadhi ya nchi za ulaya na
uwarabuni leo wameunhana pamoja kusali sala ya Eid baada ya kukamilika
ibada ya Hija huko Maka nchini Soudi Arabia.
Waumini
wa Jumaiya ya kiIslamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC
wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa,
iliosaliwa mapema asubuhi ya saa Moja Nanusu ya Siku ya Jumanne Oct 4,
2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na tupambane.blogspot.com
Nchini
Uingereza: Waumini wa wakiwa katika Sala sala ya Eid Al Hajj,
iliosaliwa Siku yaJumanne Oct 4, 2014 Coventry Nchini Uingereza
Nawao pia
hawakukanyuma baadhi ya kina Dada wa Tanzanian Muslim Community
Washington DC wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya kumaliza sala
ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 katika Msikiti wa
Islamic Center Uliopo maeneo ya New Hampshire Maryland nchini Marekani.
Waumini
waTanzania nchini India wakipata picha ya pamoja maraa tu baada ya
kumaliza sala ya Eid Al Hajj, iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014
Dj Moody
akipata picha ya pamoja na Hudhaifa Shatry pamoja na Cheif wa
swahilivilla Blog mara tu baada ya kusali sala ya Eid Al-Adhw-haa
iliosaliwa Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New
Hampshire Maryland U.S.
Muazilishi
wa Hilmy Disability Charity Organisation Faria Zam a.k.a ( Ferry
Butcher) akipata picha ya pamoja na Waumini wa Coventy Way Hansloe,
Nchini Uingereza mara tu baada ya kumaliza kusali Sala ya Eid Al Hajj.
No comments:
Post a Comment