Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, October 14, 2014

JAYDEE BAADA YA GARDNER KUPIGWA CHINI NA LADY JAYDEE

Share o facebook,Share on twwitter,Share on gmail

Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa Lady Jaydee. Amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Gadner G Habash..

Akizungumza na gazeti la Mtanzania Wakazi alikiri kwamba yeye ndiye meneja mpya wa Jaydee japo hakuwa tayari kueleza lolote kuhusu ndoa ya binamu yake Jaydee na Gardner kwa maelezo kwamba yeye si msemaji wao katika masuala ya mapenzi na ndoa yao.

Mimi sijui chochote, maana nilipokwenda Marekani niliwaacha wakiwa wachumba, lakini nilipokuwa huko nikasikia wameoana, niliporudi nikawakuta tayari wapo katika ndoa na nimeanza kazi ya umeneja wa Jaydee si muda mrefu, hivyo sijui mahusiano yao ya ndani labda muwaulize wenyewe,’’ alisema Wakazi.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG