Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipokea shangwe na wajumbe alipowasili
katika ukubi wa Makao Makuu ya CCM Whie House kendesha kikao cha
Hamlmashauri Kuu O(NEC ) ua CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa
CCM, bdulrahman Kinnana na Makamu Mwnyekiti wa CCm (Bara) Phili Mangula.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana, kabla ya kikao hicho kuanza (P.T)
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisoma Utangangulizi na kolam ya
wajumbena kumkaribisha Kikwete kuongoza, kabla ya kikao hicho kuanza.
Kulia ni Mangula
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao hicho
Wajumbe wa kikao hicho, Ridhiwani Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijadili jambo kikaoni
POLE
MWANANGU: Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi akimpa pole Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye anauguza mkono alioumia kwenye
mpira akiwa katika ziara mkoani Iringa hivi karibuni.
Kaibu wa
NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akimsalimia
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga akimsalimia mjumbe mwenzake, Mama salma Kikwete ukumbini
Makamu
Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Mboni Mhita na Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo,
Sixtus Mapunda wakipitia makabrasha kabla ya kikao hicho kuanza
Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Asha-Rose Migiro akijadiliana jambo na Naibu wake wakati wa kikao hicho,
Wajumbe wakiwa ukumbini
Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Wilson Mukama, akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma kabla ya kikao.
Wajumbea wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho. Picha zote na Bashir Nkoromo-
No comments:
Post a Comment