Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, October 17, 2014

MENEJA WA T.I ATINGA LEADERS KUSHUHUDIA MAANDALIZI YA SHOO YA SERENGETI FIESTA 2014


  • Written by  Mjengwa Blog
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter 

Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuingia jijini Dar es Salaam, kesho kwaajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Jonson Geter wa kwanza kutoka kushoto akiwa ndani ya Viwanja vya Leaders  tayari kwa kushuhudia maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika kesho kutwa katika viwanja hivyo,katika ni mmoja wa jamaa zake aliyoambatana nao kutoka marekani na kulia ni Mtangazaji wa Clouds TV Shadee.

Baadhi ya vifaa vinavyotumika kuunganisha jukwaa hilo vikiwa chini wakati mafundi wakiendelea kuchapa kazi ili kuhakikisha mambo yanamalizika kabla ya siku ya shoo kufikiwa.

Sehemu ya mbele ya jukwaa hilo itakavyokuwa mara baada ya shughuli nzima ya kujenga jukwaa hilo kukamiika.(P.T)

Mafundi wa jukwaa hilo wakiendelea kukomaa hadi kieleweke kabla ya kufika siku ya tukio rasmi.

Mmoja wa mafundi hao akiwa juu ya nguzo.

Meneja wa T.I Jonson Geter kushoto, akiwa katikapozi na Mtangazaji wa Clouds TV Shadee wa kwanza kulia, katikati ni mmoja wa jamaa zake alioambatana nao.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG