Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, October 31, 2014

TIGO YATANGAZA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA FACEBOOK

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter

Mkuu wa idara ya data na vifaa vinavyotumia intarnet kutoka Tigo, David Zacharia akielezea wateja watakavyotumia huduma hiyo kwa urahisi.

Mkuu wa ukuaji na ushirikiano wa mitandao ya kijamii kutoka Tigo, Naheed Hirji, akielezea upatikanaji wa huduma hiyo.

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhulia hafla hiyo.
KAMPUNI ya mtandao wa Tigo, imetangaza rasmi ushirikiano kati yao na mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo itatoa ofa ya Intaneti itakayotumiwa kwa bei nafuu kupitia ‘application’ maalum ya Intaneti Organisation.
Tigo pia inatoa fursa ya wateja kununua simu za kisasa ‘smartphones’ kwa bei nafuu, ili kupata huduma bora ya intaneti na  tovuti za huduma  kama vile elimu, afya, habari na mitandao ya kimawasiliano zitakazopatikana bila malipo
Akizungumza na kwenye mkutano na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar, mkuu wa idara ya data na vifaa vinavyotumia intaneti kutoka Tigo, David Zacharia, alisema ushirikiano wao na Facebook utaongeza matumizi ya tekinolojia ya kidijitali nchini kwa Watanzania wengi kutumia mtandao wa intaneti.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG