Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, October 6, 2014

Yanga walivyoichinja JKT Ruvu jana uwanja wa Taifa

  • Written by  Tupambane Blog
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter
HMB_9449
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Jaja akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa JKT Ruvu.(T.K)
Jaja akichuana na beki wa JKT RUVU, Madenge Ramadhani.
Jaja akichuana na beki wa JKT RUVU, Madenge Ramadhani.
Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao.
Edward Manyama akimtoka beki wa JKT Ruvu, Madenge Ramadhani.
Kipa wa JKT Ruvu, Jackson Chove akiruka juu kuokoa hatari langoni mwake.
Mohamed Faki akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Kelvin Yondani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG