Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, November 11, 2014

ADHABU YA KINYAMA KWA MWANAMKE INDIA


Mwanamke mmoja magharibi mwa India ameadhibiwa kwa kuburuzwa na Punda akiwa nusu utupu adhabu iliyoamrishwa na baraza la kijiji,Panchayat.
Uso wa mwanamke huyo ulikua umepakwa rangi nyeusi wakati alipokuwa akiadhibiwa.
Polisi inawashikilia watu takriban thelathini wakihusishwa na tukio hilo la kumdhalilisha mwanamke huyo mwenye umri wa miaka arobaini na mitano,tukio lililotokea baada ya mwanamke huyo kushutumiwa kumuua binamu yake.
Familia ya mwanamke huyo iliuchoma mwili wake kabla ya kutoa taarifa kwa polisi.Afisa katika jimbo la Rajasthan ameiambia BBC kuwa ni kinyume cha sheria kwa baraza hilo kutoa hukumu ya namna hiyo.CHANZO BBC

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG