Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, November 6, 2014

KOCHA MASHAKANI KWA KUSEMA WACHEZAJI WA KIAFRIKA HAWANA MAARIFA.

    • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
    Kocha wa klabu moja ya kandanda nchini Ufaransa anakabiliwa na shutuma kali kufuatia matamshi yake kuwa wanasoka kutoka afrika hawana maarifa
    Kwenye mahojiano na gazeti moja Willy Sagnol alisema kuwa wanasoka kutoka Afrika wana nguvu lakini mchezo wa soka unahitaji maarifa, mbinu na nidhamu.
    Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa Lilian Thuram ameyakashifu matamshi ya kocha huyo huku chama kinachopambana na ubaguzi wa rangi kikitaka kocha huyo kuchukuliwa hatua

    No comments:

    Post a Comment

    TUPAMBANE BLOG