Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 15, 2014

MAMBO SABA AMBAYO YANAMUUZI MPENZI WAKO



MAMBO HAYA  SABA YANAMUUDHI 
MPENZI WAKO
1.       Mwanamke akivaa kwa ajili ya kutoka kwenda kwenye sherehe, kanisani , au mahali popote haupaswi kumuuliza “baby hicho ndo unachovaa?” au “ baby utavaa nguo hizi?” maswali haya huondoa mudi kabla ya tukio , Mwanaaume amejaliwa uwezo wa kumfurahisha mwanamke kwahiyo ni bora kutafuta njia nyingine mbadala ya kumwambia .
2.       Usipende kuuliza kuhusu maisha ya kimapenzi yaliyopita au usimwambie mpenzi wako kuhusu mpenzi wako aliyopita , binadamu ameumbwa kuwa mtu mwenye kutaka kufahamu kila kitu kwahiyo jitahidi kutopenda kuongelea mambo yaliyopita kumbuka  YALIYOPITA SI ……….. malizia
3.       Usipende kujiongelea au kuhusu mambo ya kazini
4.       Usimsahihishe mpenzi wako au kumuaibisha mbele za watu
5.       Usipende kuhisi kila kitu unachoongea mpenzi wako anakielewa
6.       Usimlinganishe mpenzi wako na mtu mwingine yoyote hata kama kaka , rafiki wa karibu au ndugu
7.       Usipende kufikiri unachopenda wewe mpenzi wako anakipenda mpe fursa mpenzi wako kuchagua anachotaka na usiwe mtu wa kumfanyia maamuzi

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG