Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, November 14, 2014

MAREKANI YASEMA IMEFANIKIWA DHIDI YA IS


  • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Mmoja ya wapiganaji wa Dola ya Kiislamu ( Islamic State)
Mkuu wa majeshi wa Marekani amesema kampeni ya miezi mitatu dhidi ya dola ya kiislamu Islamic State imekuwa na mafanikio, lakini akaonya Marekani na washirika wake walikabiliana na ugumu pamoja vikwazo kwa muda mrefu.
Naye Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo Chuck Hagel akizungumza kwenye bunge la congress amesema dola ya kiislamu imedhibitiwa na hivyo haiwezi kusonga mbele na maeneo mengine imesambaratishwa japo wanaonekana kuendeleza ushawishi kwenye ukanda wa Iraq na Syria.
Mkuu wa kikosi cha majeshi ya Marekani Generali Jack Dempsey anakadiria idadi ya wanamgambo wa dola ya kiislam kufikia 31,000.
Marekani imekuwa ikifanya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi hilo, ambapo pia limekuwa likitoa ushauri na mafunzo kwenye majeshi kwa majeshi ya Marekani.BBC

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG