Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, November 6, 2014

MRADI WA KOPA NG'OMBE LIPA NG'OMBE TZ

  • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Wanawake zaidi ya 180 wafugaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki hatimae wameweza kujitegemea kiuchumi, na kuendesha biashara ndogo ndogo.
Hii ni baada ya wanawake hao kuwezeshwa katika mradi wa kopa ng'ombe lipa ng'ombe, unaombatana na mafunzo ya kitaalamu ya kuongeza uzalishaji wa maziwa kwa ufanisi zaidi.
Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau alikutana na baadhi ya wanawake hao katika mkoa wa Njombe

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG