Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, November 27, 2014

MWENYEKITI CCM KILOLO AWATAKA WANAOHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW WAJIUZULU

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo Seth Moto akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Iringa, Seth Moto, amewataka wanaohusika na sakata la Escrow aidha kwa kutajwa au kuchota  fedha  za akatunti hiyo wajitathmini na kijivua nyadhifa zao mapema wasisubiri kuondolewa au kufukuzwa na sheria na warudishe fedha zilizoibiwa.
Pia ametaka  sheria ichukue mkondo wake kwani wananchi wamechoshwa na wizi huo unaofanya maisha yao kuwa magumu.
Pia Moto alishutumu tabia ya viongozi  kujilimbikizia madaraka kama vile ubunge, uenyekiti wa wilaya na mkoa na ujumbe wa mikutano ya CCM.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG