Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, November 9, 2014

PROGRAMU KUHARIBU VIFAA VYA APPLE


  • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Programu inayoharibu mifumo ya kompyuta inayoaminika kutoka uchina inalenga kompyuta na vifaa vingine vya kampuni ya Apple. Kampuni ya Usalama Palo Alto Networks inasema kuwa programu hiyo inayojiita "WireLurker" ina uwezo wa kupata habari za kibinafsi, imeenea kwa kutumia programu za apple zinazopatikana katika hifadhi za programu. Programu hiyo ina uwezo wa kuhama kutoka dirisha la kompyuta hadi katika kiini cha kopmyuta kwa zaidi ya vifaa mia nne waya za kuhamisha ujumbe. wadadisi wamesema kuwa wanaotumia vifaa vya apple wanafaa kutumia hifadhi za programu rasmi.CHANZO BBC

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG