Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, November 7, 2014

Rais Kikwete aenda Marekani kwa uchunguzi wa afya


Rais Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la Ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya leo, Alhamisi Novemba 6, 2014, kwenda Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.

Rais Kikwete atakuwa Marekeni kwa muda wa siku kumi.

Mwisho.

Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu – Dar es Salaam.
06 Novemba, 2014

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG