Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, November 10, 2014

TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YASAIDIA WASIOWEZA KUSIKIA MJINI MOSHI


unnamedMwanzilishi wa taasisi hiyo, Bill Austin na mkewe Tani wamekuwa wakiongoza zoezi hilo toka lilipoanza majira ya saa mbili asubuhimjini Moshi jana.
unnamed1unnamed2ESTHER Urassa ambaye naye ana tatizo la kusikia akipewa huduma hiyo kabla ya kuwasaidia wenzie.
unnamed3unnamed4Lina John ambaye ni kipofu akipima kiwango cha sauti kwenye kidevu chake ili kama mtoto Ronald anaweza kusikia mara baada ya kuwekewa kifaa cha kuongeza usikivu:
unnamed5Wasichana ambao ni marafiki Lina John ambaye ni albino pamoja na Esther Urassa kutoka Shule Maalumya Mtakatifu Francis iliyopo katika Manispaa ya Moshi walikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanatoa msaadakwa watu waliokuwa wanapewa huduma ya kuwekewa vifaa maalum.unnamed6

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG