Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, November 20, 2014

Udaku wa leo, Unafikiri binti wa Kagame angefaa kuwa Miss World


 Ange Kagame, Rais wa Rwanda, Watoto wa Kagame
 Ange ni mtoto wa pili na wa kike pekee kati ya watoto wanne wa rais Kagame  wa Rwanda. Kaka mkubwa anaitwa Ivan, Ian na Brian. Rais Kagame alishawahi kumuuliza mtoto wake kwenye birthday yake ni zawadi gani angependa na Ange alimjibu baba yake kwa utani kuwa angependa Trey Songz wa Marekani kuimba kwenye birthday yake kama zawadi ya birthday. Na rais kwa mapenzi yake alifanya hivyo na alimletea Trey Songz mwanamusic wa R&B wa Marekani kwa kumlipa kitita cha pesa na kuimba kwenye birthday party ya mtoto wake pamoja marafiki zake huko Rwanda

Ange Kagame, Rais wa Rwanda, Watoto wa Kagame
Ange akiwa ameweka vipodozi
   Ange Kagame, Rais wa Rwanda, Watoto wa Kagame
Na hapa Ange akionekana kawaida, unafikiri ni kweli anafaa kuwa miss world kwa urembo wake?.
  Ange Kagame, Rais wa Rwanda, Watoto wa Kagame
 Hii ndiyo familia ya Rais Kagame wa Rwanda, Ivan, Ian na Brain

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG