Ufugaji wa Kuku wa Kisasa utasaidia Wananchi wetu kimahitaji. |
LEKIDEA inalenga kuhamasisha na kukuza ufugaji wa Kuku wa Kisasa kwa Wananchi wetu |
Ufugaji wa Mbuzi yafaa uwe wa Kisasa zaidi |
Ufugaji wa Mbuzi wa Kisasa |
Mbuzi wa Kisasa huzaa kwa Manufaa na pia hufanikisha kukua kwa idadi ya mifugo. |
Uugaji wa Nguruwe unanufaisha Wananchi kibiashara. |
Matunzo ya Nguruwe haka hivi, hasa kwa maeneo ya Vijijini kwetu ni wa muhimu na unatekelezeka endapo wananchi watahamasishwa na kuwezeshwa ipasavyo. |
Nguruwe wakitunzwa vyema huzaliana haraka na hivyo kukuza kipato cha wananachi. Lengo la LEKIDEA ni kufanya mafanikio kama haya yaweze kutekelezeka kwa manufaa ya Wananchi wetu vijijini. |
Ufugaji wa Ngombe wa Kisasa pia utawasaidia sana wanaviji wetu kujikwamua kiuchumi |
No comments:
Post a Comment