Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, December 2, 2014

CHRISTIAN BELLA AWASILI JIJINI DAR


Christian Bella akiongea na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar jioni hii.
MWANAMUZIKI Christian Bella 'King of the best melodies' ambaye pia ni prezidaa wa Malaika Band, jioni hii ametua jijini Dar es Salaam akitokea nchini Sweden alipokwenda kuijulia hali familia yake pamoja na kufanya shoo katika baadhi ya nchi za Ulaya.
Staa huyo Jumamosi hii atakuwa Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kuwapa raha mashabiki wake na kutambulisha ngoma yake ya NANI KAMA MAMA.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG