Ustadhi Mohamed Juma Issa (kushoto) akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein baada ya kusoma Quran Tukufu wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea risala kutoka kwa msomaji Mwanajuma Hassan Kaduara katika wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Fidel Castro akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]Sheikh Abdalla Yussuf Ali alipokuwa akitoa tafsiri ya Quran iliyosomwa na Sheikh Mohammed Juma Issa (hayupo pichani) katika kufungua Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro leo akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]Wasoma Utenzi Saada Mohamed Zahran na Asha Mohamed Ng’wali wakihani utenzi wao katika wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani leo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimalizia ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame Haji akimakaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Mkoani uliofanyika leo katika ukumbi wa Fidel Castro chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimalizia ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment