DR. SHEIN AHUDHURIA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU CHA TAIFA SUZA ZANZIBAR.











Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akitoa hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment