Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, December 22, 2014

JB:DIANA NI MMOJA KATI YA WAIGIZAJI WANNE WAKIKE NINAOWAKUBALI




Mwigizaji na muongozaji  mkongwe wa filamu zakibongo, Jacob Stephen “JB” amefunguka na kumtajamwigizaji wa  kike , Dianarose Kimary “Diana” kuwa ni moja kati ya waigizaji wa kike wanne anaowakubali.
“Kwangu mimi Diana kimaro atabaki kuwa mmoja kati ya waigizaji wanne wakike ninaowakubali”.

JB aliyasema haya wakati wakiwa  “ON SET” kwa movie yake mpya inayoitwa KALAMBATI LOBO ambayo inafanyika chini ya kampuni yake mwenyewe ya Jerusalem Films. Diana ni moja kati ya waigizaji wanaoshiriki kwenye movie hiyo.
Alipoulizwa anawataje hao watatu wengine, JB alijibu kuwa atawaja siku nyingine.


No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG