Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, December 20, 2014

Ligi ya soka Somali yaanza

Msimu wa ligi ya somali waanza Mogadishu
Msimu wa soka nchini Somali umeanza rasmi katika mji mkuu Mogadishu, huku mechi ya kwanza ikichezwa katika uwanja ambao ulikuwa eneo la mazoezi la wapiganaji wa kundi la Alshabaab.
Msimu wa ligi ya soka Somali waanza
Wanaume,wanawake,wavulana kwa wasichana walifika katika uwanja huo kuona mechi hiyo kati Elman na Horseed ambapo Elman iliibuka kidedea kwa mabao 3-2.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG