
Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema mfalme wa Mapozi nchini.
Katika video ambayo Mama Kijacho Zari Tlale amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram, Diamond anaonekana akifurahia kufuatiliza wimbo huo na
kulipachika pia jina la Zari kwenye mstari alioungeza mwenyewe.
“Niki busy napata upepo wa bahari, niko Kunduchi nimetulia na mtoto Zari,” anasikika akirap Chibu. Mtazame hapo juu

No comments:
Post a Comment