Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, January 23, 2015

DKT. SHEIN AWAANDALIA CHAKULA MADAKTARI WA UINGEREZA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (katikati) akiwa katika picha na ya pamoja na na madakatari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo Alhamisi Januari 22, 2015. Katika picha hii pia wakiwepo viongozi wengine wa Serikali. madaktari hao walikuwa wakihudhuria mkutano uliokutanisha matabibu kutoka nchini na Uingereza.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiagana na madakatari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Baadhi ya Madaktari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza wakiwa katika chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein Ikulu Mjini Zanzibar leo, madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein (kushoto) akiwa na madakatari Bingwa wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza alipowaalika chakula cha mchana Ikulu Mjini Zanzibar leo madaktari hao wapo nchini baada ya kuhudhria mkutano maalum uliofanyika juzi katika Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG