Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, February 24, 2015

Al Shabaab yatishia kushambulia Ulaya

Westgate Nairobi baada ya shambulio la Al Shabaab  2013
Waziri wa Usalama wa Marekani anasema analitia maanani sana tishio la kundi la Waislamu wa Somalia, Al Shabaab, kwamba litashambulia maeneo ya maduka huko Marekani,Canada na Uingereza.
Katika mahojiano kwenye televisheni, JehJohnson alisema pametokea mabadiliko katika vitisho vya makundi ya wapiganaji Waislamu ambayo sasa yanatoa wito kwa washabiki wao katika nchi maalumu kufanya mashambulio.
Ulinzi umezidishwa kwenye eneo moja la maduka la Marekani katika jimbo laMinnesota, ambalo lina wakaazi wengi Wasomali
Mwaka wa 2013, shambulio lilofanywa na Al Shabaab dhidi ya eneo la maduka laWestgate mjini Nairobi, Kenya, liliuwa watu zaidi ya 60.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG