Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, February 7, 2015

Guinea ya Ikweta yatozwa Faini na CAF

Polisi ililazimika kutumia nguvu kutuliza ghasia uwanjani
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limeiadhibu nchi ya Guinea ya Ikweta baada ya mashabiki wake kufanya vurugu katika mchezo wa nusu fainali.
Guinea ya Ikweta inatakiwa kulipa faini ya pauni 65,000 (US$100,000) kwa vurugu zilizofanywa na Mashabiki wake na kusababisha mchezo wa nusu fainali kati yao na Ghana kusimama kwa muda.
Pia watatakiwa kuwahudumia mashabiki 36 waliopata majeruha katika vurugu hizo

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG