Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, February 7, 2015

Waasi wa Houthi wachukua serikali Yemen

Waasi wa Houthi wachukua uongozi Yemen
Waasi wa Shia wametangaza kutwaa uongozi wa kisiasa nchini Yemen, kuvunjilia mbali bunge, kumwondoa rais na nafasi hiyo kuchukuliwa na baraza la urais.
Wahouthi hao walitangaza hayo katika mkutano wa siasa walipokuwa najeshi na wakuu wa makabila katika ikulu ya nchi katika mji mkuu, Sanaa.
Waasi wa Houthi
Tukio hilo linajiri baada ya mazungumzo yaliyoongozwa na umoja wa mataifa ya kukomesha mzozo wa Yemen kusambaratika.
Rais Mansour Abdrabbuh Hadi na serikali yake walijiuzulu mwezi uliopita baada ya waasi hao kuthibiti mji wa Sanaa.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG