Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, March 5, 2015

matumizi ya bangi.Majimbo mengine matano MAREKANI ambayo kuna dalili za kuhalalisha


NETHERLANDS COFFEE SHOPS
Mpaka sasa ndani ya Marekani ni majimbo matatu ambayo wametoa ‘YES’ kuruhusu matumizi ya marijuana au bangi, Washington DC, Alaska na Colorado, lakini wataalamu wanasema kuna majimbo mengine ambayo yako njiani kuhalalisha matumizi hayo.
Barney Warf ni professor wa Chuo Kikuu cha Kansas, anasema ni ngumu kutabiri kuhusu jimbo lipi na lipi litahalalisha matumizi ya dawa hizo za kulevya, lakini majimbo haya matano aliyoyataja hapa kuna dalili zote bangi ikawa halali kwao, kutokana na kwamba kwa sasa bangi inatumika kama dawa nyingine za matibabu, hiyo kwake ni hatua ya kwanza kwenye kuelekea kuhalalisha matumizi kwa mtu yoyote.
researcherfo
Majimbo hayo ni California, Nevada, Vermont, Illinois na New York ambako Prof. Warfanasema muda si mrefu tutarajie kupitishwa kwa Sheria ya matumizi ya bangi kama kilevi cha kawaida ambacho kimehalalishwa.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG