Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, April 18, 2015

Etoile wapasha moto misuli Taifa, kumbe kocha wao ‘kiburi’


IMG_2643

ETOILE du Sahel jioni hii imefanya mazoezi uwanja wa Taifa Dar es salaam kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya Yanga itayopigwa uwanja huo.
Hiyo itakuwa mechi ya kwanza ya hatua ya 16 ya kombe la Shirikisho na mchezo wa marudiano utapigwa nchini Tunisia baada ya wiki mbili.
Kocha wa Etoile,  Faouzi Benzarti amesema hakuna kipya katika soka na wataingia kucheza soka la kawaida kwa kuwa hawakupata taarifa za kutosha kuhusu Yanga kutokana na ufinyu wa muda.
Add caption

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG