Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, April 7, 2015

Makaburi yafukuliwa Tikrit


Makaburi ya halaiki yafukuliwa Tikrit
Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit, nchini Iraq.
Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya wapiganaji wa Islamic State, kutimuliwa nje ya mji huo.
Makaburi hayo yaanaminika kuwa na zaidi ya maiti elfu moja mia saba ya wanajeshi waislamu wa Kishia, waliouwawa vibaya mwezi Juni mwaka jana na wanamgambo wa I-S

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG