Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, April 10, 2015

MGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR




Haya ni baadhi ya matairi ya magari yaliyochomwa na baadhi  ya Wananchi maeneo ya stendi kuu ya Ubungo jijini Dar. Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanyisha wananchi hao.Baadhi ya Wananchi hawakukubaliana  na hilo nao wakaanza kushika mawe na kuwarushia Polisi, ikawa ni mawe VS Mabomu. Haya yote chanzo ni mgomo wa Madereva ulioanza leo.






No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG