Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, April 20, 2015

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA GALAXY S6


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia John Mngogo akipata maelezo kutoka kwa Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S6 iliyozinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam , Kushoto ni Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji.

Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania akiielezea simu hiyo mpya wa wageni waalikwa mbalimbali waliojitokeza katika uzinduzi huo.
Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji akifafanua zaidi wakati akitoa maelezo ya simu hiyo ya Samsung Galaxy S6

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG