Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, June 20, 2015

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.
Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kupokea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. eneo la Nyarugusu. 
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katoro waliojitokeza kwa wingi ,Katika mkutano huo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaambia wakazi hao vyama vingi vya siasa vimeshindwa kuendelea kutokana na kukosa sera,kushindwa kusimamia mambo pamoja na kuwa na viongozi wasiokubali mabadiliko na kung'ang'ania madaraka.
 wakazi wa Katoro waliojitokeza kwa wingi ,Katika mkutano huo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaambia wakazi hao vyama vingi vya siasa vimeshindwa kuendelea kutokana na kukosa sera,kushindwa kusimamia mambo pamoja na kuwa na viongozi wasiokubali mabadiliko na kung'ang'ania madaraka.
  Sehemu ya umati wa watu waliofurika katika mkutano wa hdhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana katika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo.

Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhe.Mh Lolensia Bukwimba akihutubia wakazi wa Katoro kwenye mkutano wa hadhara ambao mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

 Umati wa wakazi wa Katoro wakiwa kwenye mkutano wa hadhara ndani ya mji mdogo wa Katoro mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.

Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kupokea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. eneo la Nyarugusu. 
 Baadhi ya wakazi wa mji mdogo wa katoro mkoani Geita wakifuatilia mkutano wa hadhara wa CCM uliokuwa ukihutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Kinana.
  Sehemu ya umati wa watu waliofurika katika mkutano wa hdhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana katika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Geita,Vick Kamata wakielekea  katika mkutano wa hadharakatika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda, mkoani Geita leo. 
 Mbunge wa Busanada Lorencia Bukwimba akisalimia wananch katika mkutano huo wa Chikobe.
 Na Wao wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara
 Komredi Kinana (wa tatu kulia), akishiriki kulima barabara ya Kijiji cha Nyankanga, wilayani Geita wakati wa ziara yake katika Jimbo la Busanda.  
 Komredi Kinana akishiriki kupiga lipu  Jengo la Watumishi wa Idara ya Afya katika Kijiji cha Inyala, Jimbo la Busanda Wilayani Geita leo.
 Wakazi wa Katoro wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  Nape Nnauye akizungumza jambo na mmoja wa wakazi wa Katoro,wakati wa mkutano wa hadhara mkaoni Geita.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG