Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, September 19, 2015

MAGUFULI AFUNIKA HUKO KAKONKO NA BIHARAMULO...,WANANCHI WAKESHA WAKIMSUBIRI


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kakonko kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Umati wa wakazi wa Nyakanazi ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akirejea kutoka Kigoma .
Umati wa wakazi wa Nyakanazi ukimshangilia Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasalimia wakazi hao.
Picha ya aliyekuwa Mwalimu wa darasa la kwanza aliyemfundisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli, Marehemu Cornel Pastory.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la Kwanza mwalimu Cornel Pastory


Mwakilishi wa Walemavu Ndugu Amon Mpanju akihutubia wakazi wa Biharamulo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Biharamula kwenye mkutano wa kampeni zilizofanyika uwanja wa CCM Biharamulo.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Biharamulo Magaribi na wa viti maalum mkoa wa Kagera.




No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG