![]() |
| Mwanariadha Wilson Kipsang ashinda mbio za Berlin Marathon mwaka uliopita |
Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 30 alishinda mbio hizo kwa muda wa saa mbili,dakika na sekunde 57 ambapo aliivunja rekodi ya awali kwa sekunde sita
Rekodi ya awali iliwekwa na mkenya mwenzake Wilson Kipsang katika mbio hizo mwaka uliopita.

No comments:
Post a Comment