- Written by Tupambane Blog
- Tuma Maoni
-
Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
Bondia
Elick Mwenda wa Malawi kushoto akitunishiana misuli na Alibaba
Ramadhani baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa
wa U.B.O Africa mpambano utakaofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa
YMCA Hall Picha na Thommy kundy
Bondia Shomari Mirundi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake..
Promota
wa ngumi Georeg Endru katikatiakiwainua mikono juu bondia Said Yazidu
wa Tanzania na Dijamel Dahou wa Aligeria baada ya kupima uzito leo kwa
ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO
Picha na thommy kundy
Picha na thommy kundy
Dijamel Dahou wa Aligeria baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO
No comments:
Post a Comment