Bondia
Fadhili Boika kushoto akipambana na Shomari Milundi wakati wa mazoezi
yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na
mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi
wa frends corne manzese Dar es salaam Picha na
SUPER D BLOG
SUPER D BLOG
Bondia
Fadhili Boika kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden
mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia
Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam Picha
na
SUPER D BLOG
SUPER D BLOG
Msimamizi
wa mazoezi kutoka 'King Class Team' Bilali Ngonyani kushoto akimsimamia
kupiga gab bondia Fadhili Boika wakati wa masoezi yake ya kujiandaa
kupambana na Godfrey Silve mpambano utakaofanyika oktoba 25 katika
ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaa ambaye ni msimamizi wa gym
ya garden iliyopo kigogo mburahati walipokuwa wanafanyika mazoezi
jana
Kocha
Mohamed Mbadembade kushoto akiwaelekeza mabondia godfrey Mbwalu kulia,
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Shomari Malundi na Fadhili Boika baada
ya kumaliza mazoezi katika ukumbi wa Garden Kigogo Mburahati Picha
na www.superdboxingcoach.blogspot.com
MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI YAO KATIKA UKUMBI WA GARDEN KIGOGO MBURAHATI DAR ES SALA
No comments:
Post a Comment