Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, October 23, 2014

MSANII WA TMK WANAUME FAMILY, YP AZIKWA MAKABURI YA CHANG'OMBE DAR


  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni

Wasanii wa Bongo Fleva wakiuaga mwili wa marehemu Yesaya Ambikile 'YP' katika Viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam.

Waombolezaji wakiwa katika msiba wa msanii wa Bongo Fleva, Yesaya Ambikile 'YP' kwenye Viwanja vya TCC, Chang'ombe, Dar.

Mke wa marehemu YP, Sakina Robert (mwenye kiremba cheupe) akiwa katika hali ya majonzi.(P.T)

Msanii wa Bongo Fleva, Juma Nature akizungumza jambo kwa niaba ya wasanii wenzake waliofanya kazi na marehemu enzi za uhai wake.

Baadhi ya wasanii na waombolezaji wakiwa mbele ya jeneza muda mfupi kabla ya kuuaga mwili wa marehemu.

Juma Nature akifunua jeneza tayari kwa shughuli ya kuuaga mwili huo.

Mtoto wa marehemu, Ambikile Yesaya akisogezwa mbele ye jeneza kuuaga mwili wa baba yake.

Msanii wa filamu, William Mtitu akipita kuaga mwili wa marehemu.

Msanii wa vichekesho, Mussa Kitale 'Mkude Simba' akiaga mwili.

Maombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kwenda makaburini.

Sehemu ya mamia ya waombolezaji wakiwa makaburini.

Waombolezaji wakiwa wamebeba bango lenye picha ya marehemu.

Jeneza likishushwa kaburini.


MSANII WA TMK WANAUME FAMILY, Yesaya Ambikile 'YP' aliyefariki usiku wa kuamkia juzi, amezikwa jana katika makaburi ya Chang’ombe maduka mawili jijini Dar jioni hii. Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie waliokuwepo kuungana na wasanii wenzao wa Bongo Fleva ni pamoja na JB, Steve Nyerere, Jacqueline Wolper, Kajala Masanja, Shilole, William Mtitu, Mkude Simba na wengineo.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG