Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment