Pages
Home
HABARI
MICHEZO
BURUDANI
MATANGAZO
DINI
PICHA
SIASA
CONTACTS
UFUGAJI
KILIMO
FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA
Wednesday, November 19, 2014
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MTAMA -LINDI)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
shiriki kazi ya kukamua maziwa katika kituo cha uugaji cha Masister cha Narunyu Mtama mkoani Lindi wakati alipotembelea kituo hicho.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
salimiana na baadhi ya Masister mara baada ya kuwasili katika kituo hicho katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Baadhi ya Ng’ombe wakiwa katika shamba hilo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
shiriki ujenzi wa tanki la maji katika mradi wa maji unaojengwa katika kata ya Nyangamara jimbo la Mtama.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
onyesha kitabu kinachoelezea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa na Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe alipotembelea ofisi ya mbunge huyo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
shiriki katika shughuli za kubangua korosho wakati alipotembelea kikundi cha akina mama cha kubangua korosho katika kata ya Nyegendi jimbo la Mtama.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
shiriki kazi ya kuchambua korosho kwa mashine katika kata ya Nyegendi wakati alipokitembelea kikundi cha kubangua korosho kinachoendeshwa na akina mama.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo la Mtama wakiwa katika kikao cha ndani wakizungumza na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
.
Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Maifa Mh. Bernard Membe akizungumza na wajumbe wa mkutano huo huku
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
sikilizia wa pili kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.
kushoto na Mbunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda wakicheza ngoma za asili ya kabila la Kimakonde wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika kata ya Chiuta jimbo la Mtama mkoani Lindi
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Chiuta leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana aki
hutubia wananchi katika mkutano huo.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe wakati wa mkutano huo.
Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe
akizungumza na wananchi wa jimbo lake katika kata ya Chiuta leo
.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TUPAMBANE BLOG
No comments:
Post a Comment